Pages

Pages

Friday, June 28, 2013

Mapacha Watatu walishambulia jukwaa la Zoughua Garden kwa kasi ya ajabu



Mkurugenzi wa Mapacha Watatu, Jose Mara kulia akishambulia jukwaa kwa ushirikiano wa karibuni na Mkurugenzi mwenzie wa bendi hiyo, Khalid Chokoraa wa kwanza kushoto, huku katikati kukiwa na mcheza shoo wao katika Ukumbi wa Zoughua Garden Kinondoni Morocco, jijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment