Pages

Pages

Tuesday, June 18, 2013

Mtoto Rahimu naye akiuza sura kama kawaida

Utoto bwana. Juzi nilimnasa mtoto huyu Rahimu Kambi, akiwa juu ya Subwoofer akiuza sura kama anavyoonekana pichani. Huyu jamaa ugonjwa wake ni vitu kama hivyo, simu, computer. Hata akilia vipi, akiona laptop ananyamaza. Kweli hiki ni kizazi cha dotcom.


No comments:

Post a Comment