Pages

Pages

Tuesday, June 18, 2013

Mwandishi Juma Kasesa alivyouaga ukapera na kufanya sherehe ya aina yake

Mwandishi wa Gazeti la Fahamu, Juma Kasesa, akiwa kwenye sherehe ya ndoa yake na mkewe HusnaNyambibo, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni na kuhudhuriwa na watu mbalimbali. Kila kheli Kasesa katika maisha yako ya ndoa na Mungu akubariki.

No comments:

Post a Comment