Pages

Pages

Tuesday, June 18, 2013

Picha ya siku, nilichokiona makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, jijini Dar es Salaam

Duniani kuna mambo. Kama unavyoona kibao hicho kilichonaswa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, kikisitiza utoaji wa michango na kulipa fedha za kiwanja kabla ya kupata kiwanja cha uchimbaji wa kaburi. Hii ni tofauti na maeneo mengi ya vijiji, ambapo vifo huwa ni huzuni kwa wote. Lakini sehemu za mijini mtu anapokufa wachache wao husubiria kupata pesa za kujikimu na familia zao. Picha hii ilipigwa katika mazishi ya msanii Hassan Kihiyo.

No comments:

Post a Comment