Pages

Pages

Thursday, June 27, 2013

Kuachwa kwa Juma Kaseja Simba, wadau wacharuka, Edo Kumwembe, Fredrick Mwakalebela wanena wakiungwa mkono na utitiri wa wadau wao mitandaoni



SAKATA la Juma Kaseja kuachwa timu yake ya Simba, limezidi kuwachanganya wadau wa mpira wa miguu ndani na nje ya nchi, wengi wakionekana kupinga uamuzi huo.
Haya ndio maoni ya Edo Kumwembe, mchambuzi na msemaji wa timu ya Coastal Union ya jijini Tanga kwa Wagosi wa Kaya, ambapo pia maoni yake yakafuatiwa na utitiri wa wachangiaji katika mtandao wa facebook.

"Maisha yako kasi na yanachekesha....kiongozi mmoja wa Simba aliwahi kuniambia kuhusu Maximo kumuacha kaseja wakati ule akasema 'mpumbavu tu yule kocha anaiona timu yake'.....jana nimemuuliza kiongozi yule yule kuhusu Simba kumuacha Kaseja kajibu 'Mpumbavu tu yule kipa anaiona timu yake'.........hahahahaha"+.

Maoni ya Fredrick Mwakalebela, Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Fredrick Mwakalebela.
 
"Mimisikubaliani kama ni kweli kitendo walichomfanyai kaseja simba sio cha kiustaarabu, hata kama wanamuache sio kivile, anatakiwa apewe taarifa mapema, aagwe kwa heshima kutokana na mchango wake simba, cha kushangaza hajawahi kukaa benchi ghafla kiwango kishuke, captain Nationalteam????????????????.KWANGU BINAFSI BILA KUSHAWISHIWA NA MTU WALA KUPATA USHAURI KASEJA BADO SAANA NI TANZANIA ONEEEEEE".
Angella Michael Msangi ni mwandishi mwandamizi wa TBC 1 naye akasema kwa ufupi, "aibu sana"

2 hours ago · Like

Grace Hoka kushoto mhariri wa Michezo wa Gazeti la Bingwa naye akasema, "sio hivyo edo kuna mmoja wa kiongozi kasema eti kasema ana hela kuliko baadhi ya viongozi"


16 minutes ago · Like.

Haya ndio maoni ya Zena Chande, mwandishi mwandamizi wa michezo wa Gazeti la Habari Leo.
We unadhani Fedha ndio ingekuwa faraja kwa Kaseja? Masoud Sanani, walipaswa kumuonyesha heshima tu, tena sio kumfanyia sherehe, wangemwita tu na kumueleza kwamba hatuongezi mkataba na wewe, hiyo ingetosha, lakini hii ya kuzungumza kwenye vyombo vya habari wakati mwenyewe yupo haitoshi,bosi wangu,


2 hours ago · Like · 1.

Katikaa mitandao ya kijamii kama vile twitter, facebook na mingineyo kumekuwa kukiendelea mijadala ya wadau wa soka na kuonyesha kuwa uwezo wa Kaseja unaheshimika nchini kote. Pitia maoni yote.

Mjadala wa Msemaji wa Coastal Union, Eddo Kumwembe, umeonekana kuvutia watu wengi na kujikuta wakitoa maoni yao, huku akiafutiwa na Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Fredrick Mwakalebela. 

Haya ndio maoni ya Edo na wachangiaji wake.
Maisha yako kasi na yanachekesha....kiongozi mmoja wa Simba aliwahi kuniambia kuhusu Maximo kumuacha kaseja wakati ule akasema 'mpumbavu tu yule kocha anaiona timu yake'.....jana nimemuuliza kiongozi yule yule kuhusu Simba kumuacha Kaseja kajibu 'Mpumbavu tu yule kipa anaiona timu yake'.........hahahahaha

Mwanamgeni Ally Nilisubr uongelee hii ishu kwnye PB ukauchuna
29 minutes ago via mobile · Like
Leonce Swai. Hahahahahahahaha!!kwakwakwakwakwakwakwa!!siiiiiasa!kakaEdo Kumwembe. 29 minutes ago · Like

Abdul-wahab Pirlo Mzange kaseja analeta makund kwenye tm
29 minutes ago via mobile · Like · 1
Baraka Oscar Maisha bila unafiki hayaendi na hakuna urafiki usio na masilahi! 29 minutes ago · Like.

Kun'steve Chitam Hv jaman huyu israel aliewatoa roho ngwair...langa..hajawaona hawa wanaoleta magumash kwny soka le2 toa roho 2zke il 2fk kule kweny pique
29 minutes ago via mobile · Like

Mnora Ally Swali langud.Kinachoshangaza nini kwa kaseja kuachwa?yeye ni mchezaji kama wachezaji wengine dunian kote.mbona alipobakisha miez 6 hakuna tim iliyomtaka?why?.
28 minutes ago via mobile · Like · 2

Jay Yakuza kwani kuna kiongozi wa michezo mwenye hakili km yupo ninyosha kidole juu,,,
28 minutes ago via mobile · Like

Khalidi Maharagande Kwani kibaya kipi simba kumuacha kaseja? Ndomwisho wake umefikia akalime mahindi yeye kazi yake kuwatenganisha wachezaji sasa imefika zamu yake kutupiwa vilago. Nawapongeza sana viongozi wa simba kwakufanya ujasili huo mn kaseja aliona simba kama yakwake.simba jipangeni na tengenezeni simba imala
28 minutes ago via mobile · Like · 1

Cosmas Francesc Daniel bongo viongoz we2 ni wababaisha kaseja alikuwa anatakiwa astaf soka akiwa simba baada ya hapo anakaa kwenye bench la ufund
27 minutes ago via mobile · Like

Ally Salum Kaka edo,tumetanguliza zaidi siasa na sio ufundi. Tatizo la Kaseja ni kama ilivyowatokea magolikipa wa Arsenal ktk vipindi tofauti Manuel Almunia na Jens Lehman.Juma K Juma hajapata muda wa kupumzika toka aingie makongo chini ya Marehemu Ernest Mokake.mwili wake umechoka na sio kosa lake bali walimu wa timu.hawawaamini magolikipa wengine ndio maana kila game kaseja.
27 minutes ago via mobile · Like · 2

Subira Heinz soka la kibongo bongo,,,tamu kweli
27 minutes ago via mobile · Like
Nasri Bil John Kaseja kakataa kupiga pasu 40m ndo hapo anapoambiaw kachuja 26 minutes ago via mobile · Like

Ally Bambo Umpa Itawasaidia Wachezaj wetu kukua pia,wachangamkie Fursa za kwenda nje....ndo wajue kua Wanapndwa wakat wakiwa kwenye Viwango....NGASA zam yako inafatia..
26 minutes ago via mobile · Like

Sam Mlili si mlikuwa mna mtafuta mbadala wa kado sasa kaseja huyo hapo nadhan ana ukiwango mnachohtaj
26 minutes ago via mobile · Like

Abduli Skambi kk edo! Mada! Zako? Kwer ww another levo
25 minutes ago via mobile · Like
Saimon Elias hlo nd soka la bongo
25 minutes ago via mobile · Like

Shaib Sudi Naskia Yanga wanamtaka! Yaani km kweli wakimsajili mi naacha kushabikia hizi timu
24 minutes ago via mobile · Like

Faraja Emmanuel Tz One, ameshuka kiwango kwenye timu yake, makubwa? hizi timu za Bongo magumashi kweli kweli.
24 minutes ago · Like

Issa Matenga hahahaha soka la bongo linanipa raha sana
23 minutes ago · Like
Salva Mlela Fedheha sana van de sar angeachwa akijipa mda wa kupumzika ili heshima ibaki sasa huyu jk juma aibu imekuta mwisho ataangukia mgambo jkt
23 minutes ago via mobile · Like

Cos Torres ha haa haaa Edo maisha bila unafki hayaendi
23 minutes ago via mobile · Like
William Magellanga Mweusi soka la kibongo ni la kishnz tu
23 minutes ago via mobile · Like

Dotto Aby N Kifizi Hatuna historia ya kuhukumu kutokana na Hiyo Hiyo historia,,nchi ile ile,,watu wale wale,,viongozi wale wale na washauri wale wale,,wapiga kula wa hao viongozi wale wale toka Enzi za ndolanga na mwisho mawazo Yale Yale,,in short nothing changes ndani ya hii hii mipaka yetu
23 minutes ago via mobile · Like

Adam Kijangwa Mbona wandishi wengi wa habari mnapotosha habari zenu kaseja ni mchezaji na mchezaji ni sawa na bidhaa dukani ima ununua au uiche kutokana na sababu zako mbona li la smb kumuacha kaseja mnaona ajabu sn je kaseja alipo iacha smb kwenda yanga vp kipindi kile
22 minutes ago · Like · 4

Andrew Kimboka Jamani coastal chukueni kifaa hicho tena bei kama bure lakini subiria siku akikutana na simba mtajuta.kaseja yanga watamchukua then simba hao.
21 minutes ago · Like

Alex Kamuzelya Namshauri Kaseja astaafu kuchezea timu ya taifa kwa heshima.Ni kweli kabisa kiwango chake si kama cha zamani kuweza kutumikia timu yake na Taifa stars.
21 minutes ago · Like

Eileen Remmy bongo jaman thaman inaisha fasta
21 minutes ago via mobile · Like
Jones Magwila Soka la bongo bhana......!
20 minutes ago · Like

Edger Fred Cosmas kwel we intellectual. Alikuwepo Mwameja hatujui kaenda wapi? Simba wanatuangusha mashabiki.
20 minutes ago via mobile · Like

Jadeed Juma Edo nani kakwambia kuwa timu yangu ya simba kuna viongozi? Wote wababaishaji tu na msimu huu wallahi simba tunakuwa nne au tano.

18 minutes ago via mobile · Like
Kalimbo Mgonja Kaseja amekwisha,,,amechangia sana kuzima ndoto zetu za kwenda Brazil.
17 minutes ago via mobile · Like

Grace Hoka sio hivyo edo kuna mmoja wa kiongozi kasema eti kasema ana hela kuliko baadhi ya viongozi
16 minutes ago · Like.

Joseph Mrema Cdhani Kaseja kashuka kiwango,ni ukiritimba wa viongozi wetu mambumbumbu,kwa uongozi wa dizaini hii soka letu haliendi popote,washalibemenda,wanatuletea siasa zao kwenye soka,dawa yao iko jikoni hawa panya buku.
14 minutes ago via mobile · Like · 1

Jadeed Juma Wivu ndo unawasumbua viongozi wetu wa bongo@Grace Hoka
14 minutes ago via mobile · Like
Adamson Mwaigomole hata msemaje,kaseja anabaki kua bora tanzania...simba msitetee ujinga yatawakuta yaleyale ya yondan na mtajuta kama mnavojuta kwa yondani
14 minutes ago via mobile · Like

John R Julius EDo ww si kiongozi wa Coastal mchukue ww Kaseja. Kaseja tumemuacha kwa mambo yake anayajua yy mwenyewe na Kaburu wake. kwa msaada muulize Boban na Nyosso watakwambia ukwel wa Kaseja
14 minutes ago via mobile · Like · 1

Ibrahim Majaliwa ONYO: Ni hatari kwa afya yako kushabikia soka la bongo..... Ooops so sad kumuona Kaseja akinyanyasika kutokana na fitina za soka la kibongo
13 minutes ago · Like · 2

Nickson Rweikiza Phd kwan kaseja ni nan mpaka asiachwe?
12 minutes ago via mobile · Like

Mohamed Kobembe kaseja aende kenya akale mahela,hapa anadhalilika tu
12 minutes ago via mobile · Like
Dismas Evarist Simba maboya 2 mnashuka daraja mwaka huu
11 minutes ago via mobile · Like

Emmanuel Makalla Watanzania hatuna shukurani, utu uzima dawa, hivi kaseja na puyor nani garasa? Simba itakuwa kama Asernal na vijana wao
11 minutes ago via mobile · Like
Julius Kidumba fuckin simba.siasa ina2mika ana2zngua 2 rage.
9 minutes ago via mobile · Like

Hery J Kinyoni Jamani mbona vyombo vya habari vingi vinazungumuza kuhusu kaseja tu mbona wachezaji wengine wakiachwa hamzungumzi kwan kwan kaseja ni nani na mbona kunatimu nyingi siwamchukue.
7 minutes ago · Like

Bob Ramso Mpumbavu zaidini huyo kiongozi asiyejitambua mm nina wasiwasi na huyo kiongozi upo uwezekano ubongo wake una matatizo au mwezi mchanga mshauri akapime vipimo vyote haswa Akili kwa maana hajitambui@Edo
7 minutes ago via mobile · Like

Erick Ndunguru Kwan kaseja ninan bhana'aendezake mchezaji hawez kua ju ya timu bhana
6 minutes ago via mobile · Like

Kadoh Bridge kaseja atabaki kuwa kaseja na huyo kiongozi atabaki kuwa yeye,kumtema simba si mwisho wa kipaji chake na watajuta kama wakati wa nurdin bakary na chuji....twenzetu tanzania one
6 minutes ago · Like

Geophrey Ulikaye Ubinafsi unawasumbua viongoz wa tff
5 minutes ago via mobile · Like
David Peter hahahahah
4 minutes ago via mobile · Like

Goodluck Mvula Xana2 kaseja ww ni mchezaji uliye2liteha maendeleo ktk timu ye2 thankx jk
2 minutes ago via mobile · Like

Victizo Kinega WA Magenge edo hajakosea kwani kaandka kp kbaya...alitemwa drogba kwa kuifungia chelsea magoli muhm kwny uefa na fa na akawapa vikombe....sembuse huyo..wameshaamua mclalamike cha msing viongoz wajpange waepushe migogoro.
a few seconds ago via mobile · Like

Twaif Mussa edo ur hiding sins c umlopoke.wa kwanza mm kumpiga kinyesi usoni.its nt fair kwa our hero,muokozi w taifa,anayejitolea kwa taifa lake.ndo maana juzi wkt np uwanjani nacheki game y ivory coast nilikuw kmy nikiwaangalia watanzania wakifurah wkt kuna wa2 wanakandamiza soka le2 n bd tulikuw tunadream kwenda brazil.life goes on,taifa staz goes on,yanga goes on,kaseja go on ht bila y hao mamburula
a few seconds ago via mobile · Like

Godfrey Mwamlima Lkn kiukweli Kaseja amechuja
a few seconds ago via mobile · Like
Na haya ndio maoni ya Mwakalebela yakifuatiwa na wachangiaji wake, ambao wote ni wadau wa soka.

Mimisikubaliani kama ni kweli kitendo walichomfanyai kaseja simba sio cha kiustaarabu, hata kama wanamuache sio kivile, anatakiwa apewe taarifa mapema, aagwe kwa heshima kutokana na mchango wake simba, cha kushangaza hajawahi kukaa benchi ghafla kiwango kishuke, captain Nationalteam????????????????.KWANGU BINAFSI BILA KUSHAWISHIWA NA MTU WALA KUPATA USHAURI KASEJA BADO SAANA NI TANZANIA ONEEEEEE

View previous comments
Oscar Jimmy yule ni mchezaji wa Kaburu
2 hours ago · Like
Masoud Sanani kwa kweli mimi sijui ila ninachojua Kaseja alisajiliwa Simba mwishoni mwa mwaka 2002 wakati huo hata Kaburu hajulikani Hassan Simba
2 hours ago · Like
 
Godfrey Emmanuel Hakuachwa bali mkataba wake na mwajiri umekwisha. hivyo alitakiwa kukaa meza moja na mwajiri kujadili mkataba mpya kama mwajiri angependa kuendelea naye kwa kuzingatia kiwango chake pamoja na uwezo wa mwajiri kumlipa kwa masharti ya mkataba mpya. kama alipewa fursa ya kujadiliana mkataba mpya na mwajiri wake kisha wakashindwana kwenye malipo basi hapana budi kumwacha maana majadiliano lazima yazingatie maslahi ya pande zote mbili. Asante@ mwaka a.k.a mr. Maro. teh teh
2 hours ago · Like

Oscar Jimmy yeye ndio alimrejesha kundini kutoka kwa watani
2 hours ago · Like
Sami Kiula UNAWAWEZA KUKAA NA NYOKA NDANI...ETI KWA VILE KATOKEZA KICHWA nje ANASAIDIA ULINZI...........simba ndio wanaojua umuhimu wake na amewakwaza wapi......
2 hours ago · Like

Mathew Kasonta Inauma hata kuzungumza! Simba inaharibu Brand yake kwa matendo yake yasiyo na staha
2 hours ago · Like · 1

Hassan Bumbuli Simba hawana pesa za kulipa Kaseja, ofa yake ya Mil 40,ni valid kwa kiwango chake, duh Simba hii ya Rage majanga tu. Viongozi wameshuka kiwango siyo Kaseja
2 hours ago via mobile · Like

Mohamed Shaban Dada zena hata hilo shina litatoka siku moja. Ustaarabu gani ulikuwa unataka simba waufanye sababu ninavyojua mimi pindi mkataba unapofikia tamati ina maana kila mmoja yuko huru sasa sijui apewe taarifa kwamba ataongezewa au hatoongezewa mkataba ili iweje sababu sio lazima na kaseja alikuwa huru kufanya yake pasipo kusikiliza simba wanasemaje sababu mkataba baina yao umeshaisha na pande zote mbili wanajua na vile vile unasema wangemwambia mapema ili iweje ilhali mwenyewe anajua hana mkataba tena na simba, mbona boban hakusubiri aambiwe kama ataongezewa mkataba au laa akaamua kwenda coastal. Mnataka afanyiwe send off ama?
2 hours ago via mobile · Like

Zena Chande We unadhani Fedha ndio ingekuwa faraja kwa Kaseja? Masoud Sanani, walipaswa kumuonyesha heshima tu, tena sio kumfanyia sherehe, wangemwita tu na kumueleza kwamba hatuongezi mkataba na wewe, hiyo ingetosha, lakini hii ya kuzungumza kwenye vyombo vya habari wakati mwenyewe yupo haitoshi,bosi wangu,
2 hours ago · Like · 1

Angella Michael Msangi aibu sana
2 hours ago · Like
Zena Chande Mohamed Shaban, kuna utu pia, uungwana wangemwambia tu kwamba hawaongezi nae mkataba, na si kuanza kuzungumza kwenye vyombo vya habari bila kumwambia mwenyewe, wewe huko kazini kwenu itokee bosi amesitisha mkataba, mfano kisha uzisikie taarifa kwa wenzio bila we mhusika kujua unajisikiaje?
2 hours ago · Like · 1

Mohamed Shaban Dada zena pale unapotambua mkataba umeisha unataka nini tena kutoka kwa mwajiri wako....? Kama wanakuhitaji watakutafuta na vile vile wakikaa kimya huhitajiki na hakukuwa na ulazima eti aitwe aambiwe kwa mkataba wa awali umeisha kwa hiyo alikuwa huru kuendelea na mambo yake....
about an hour ago via mobile · Like

Mohamed Shaban Kwani juma kasitishiwa mkataba au mkataba wake umeisha dada zena......?@Zena
about an hour ago via mobile · Like

Jimmy Kiango Kama kuna kuzaliwa na kufa pia kupo, imeandikwa wapi Kaseja acheze Simba milele?Ni nafasi sasa kwa Kaseja kuonesha uwezo wake sehemu nyingine,kuachwa kwa kaseja ni sawa na kuachwa kwa Boban, Nyoso, Maftah. Nsajigwa,Gumbo, Nurdin na wengineo kwa upande wa Yanga, Mkataba wa Kaseja umeisha, hajasitishiwa mkataba, kwa nia njema nawasilisha.
about an hour ago · Like · 1

Schwan Twain Rage is CCM anawawaza kaa CCM, Kiwango cha kaseja bado kipo juu, huu si uugwana kabisa na nikuaibishana! Rage kiwango chako cha kufikiri kimeshuka, wewe kalete fujo kwenye mikutano ya CCM tu! Tuache na simba yetu
about an hour ago · Like

Debora E Mutatina this is TZ zaidi ya uijuavyo lol natamani achukuliwe na Yanga (is just a wish)
about an hour ago · Like

Zena Chande Mohamed Shaban sidhani kama naweza bishana na wewe, umeielewa Status ya Fredrick Mwakalebela lakini? hata huko nje klabu zinapomaliza mkataba na wachezaji wanasema kwamba hawaongezi hawakai tu kama mabubu, tena mfano mchezaji kama Eric Abidal wa Barcelona ameitiwa kabisa waandishi wa habari akazungumza na wachezaji wenzake wakamuaga kistaarabu kabisa, hata siku nyingine akiitwa kwa kazi nyingine anakuja kwa moyo mkunjufu, sidhani kama Watanzania tumefikia hatua ya kukosa ustaarabu kisai hicho
about an hour ago · Like

Mac Kye Mbe kama ni kweli hata mimi sikubaliani na hii simba the tanzania ONE hii ni aibu kaseja bado yuko vizuri tene sana
about an hour ago · Like
Zena Chande Na sasa hivi Abidal anajiandaa kucheza Ufaransa, kiroho safi
about an hour ago · Like

Mohamed Shaban Nadhani dada unataka kulazimisha mambo kwa kukariri. Kwa hiyo mkataba ukiisha huwezi fanya mambo yako mpaka uambiwe.....?@Zena
about an hour ago via mobile · Like

Ally Kambaya simba wehu kinesi na watu wake wanazeeka vibaya
about an hour ago · Like
Zena Chande Asante Mohamed Shaban, heri yako
about an hour ago · Like

Kaka Ommy Kuna zaid ya tatizo juu yake ila inafichwa kama ilivokua kwa kaseja na maxmo aiwezekani tatizo moja limtokee mara mbili kwa team ya taifa na club hii mana ake nae ana mushker kwa kulinda heshima yake wanaamua kumuacha tuwe na subira ipo cku itafahamika tu
about an hour ago via mobile · Like
Lina Kessy Majanga

about an hour ago via mobile · Like
Omary Rajabu msibishane jamani ukweli unabaki palepale kaseja hakutendewa haki..uongozi wetu simba umejaa siasa. analetwa kocha naye anakuja na kipa wake unategemea nini hapo kwa kaseja
about an hour ago via mobile · Like

Heri Ngalison bro mwakalebela hapa inaonyesha viongozi wa cmba wana siri nzito juu ya kaseja,inawezekana game za watan zinamuondoa cmba!ILA NAMUONEA SN HURUMA RAGE KWAN NAE ATATIMULIWA CMBA,
about an hour ago via mobile · Like

Michael Bedelmpianatshituka Safari aagwe na nai yule muhuza timu,,mwache akafie mbele ukoo
about an hour ago · Like

Salum Sudan aaah kaseja nimeshindwa kula kwa uchungu nitakufuata popote uendapo simba cmama wala baba yangu
about an hour ago via mobile · Like

Emmanuel James-Ngosha Kamuli Kaseja kiwango kimeisha halafu anataka masilahi. Drogba alikuwa tayari kupunguziwa mshahara ili apewe mkataba wa miaka miwili Chelsea Football Club wkt huo akiwa bado kwenye fomu yake na ndio ametoka kuipa chelsea ubingwa wa ulaya. Sasa kaseja kwa kiwango kibovu hiki kwa sasa na kuruhusu magoli ya kizembe kama match ya simba vs yanga, kagera 2 simba 3 uwanja wa taifa, mwaka juzi tunafungwa na azam 3-2 yote hayo ni kutokana na makosa ya kizembe. Tukubali uwezo wa kaseja kucheza team kubwa kama simba umeisha.
about an hour ago via mobile · Like

Grace Kihampa Hao wanaojidai viongozi miungu watu zamu yao inakuja,ma***a zao.Watake wasitake,waroge,wawe vichaa Kaseja bado ni nambari moko in Tz kwasasa.
about an hour ago via mobile · Like

Emmanuel James-Ngosha Kamuli Kama kaseja angekuwa tayari kupokea dau alilopewa na kutoangalia masilahi yake binafsi wakati uwezo wake umeshuka na viongozi wakampotezea ningelaumu uongozi wa simba lakini kwa mwendo wa kudai masilahi wakati uwezo unashuka nakataa, kaseja wa sasa hana uwezo wa kucheza cross na anagungwa sana magoli ya mbali pia hata uwezo wa kusafiri kuokoa michomo ya pembeni hana kwa sasa hata barthez wa yanga no bora kwa kaseja wa sasa.
about an hour ago via mobile · Like

Othman Kazi Go Kaseja Go, hawaoni faida yako leo kaka, Wanasahau ukiondoka utaondoka na uwezo wako, kamwe uwezo wako hautabaki kwao. Nenda kawadhihirishie Wewe Ni nani Swahiba, Il olways salute you Comrade.
about an hour ago · Like · 1

Robert Nduba Tanzania one tz one,m naamn tz one kwa sasa ni bartez,kaseja so sr kafulia.
about an hour ago via mobile · Like · 1

Osmund Mbangati Ang'atuke asome alama za nyakati...afikirie plan B kwa sasa...ajifunze hata ukocha...umri umeenda na majukumu yanamuandama..
about an hour ago · Like · 1

Ambakisye Ngondya Kaseja kachoka ndugu yangu Mwaka! Kwani siku hizi amezidi kufungwa magoli hata ya kizembe! Simba wameona mbali. KASEJA AACHE LANGO WADAKE WENGINE TUONE
about an hour ago · Like · 1

Mwanahiba Lucy Richard Naunga mköno mdau, hata km kiwango kimeshuka wangemuacha kistaarabu, viongoz wa Simba hawana lolote wanakumbuka mabaya, mazuri yk wanayafunika. Kaseja upo juu kaka
about an hour ago via mobile · Like

Khamis Nurdin Kiukweli hata mimi imeniuma sana hawaja mtendendea haki
about an hour ago via mobile · Like

Emmanuel James-Ngosha Kamuli Kuachwa kistaarabu kaseja ni kupi ambako mnataka?. Kiwango kibovu na anataka mshahara mkubwa na pesa nyingi zaidi ya usajili simba wamesema hawawezi kulipa pesa zote hizo wamesema yupo huri ttz liko wapi sasa?.
56 minutes ago via mobile · Like

Yakub Ramadhani Unajua Mwakalebela,wapo watu wanamapesa yao wameingia kwenye mpira lakini mpira hawajui,si unaona hata usajili wanachemka sana.Captain wa jeshi na mpira wapi na wapi?
51 minutes ago · Like

Zena Chande Kaseja hajashuka kiwango Mwanahiba Lucy Richard, na hao wanaosema Kaseja anauza timu, siku wakija kumjua anayeuza timu pale watazimia, yupo mtu mmoja ndio hodari wa biashara, halafu wala sio mchezazji ila yeye anatumika kupitisha 'mzigo' kwa wachezaji ndo mana nasema wanakata tawi wanaacha shina, litachipua!
48 minutes ago · Like

Mwesigwa J Selestine Hujakosea.Uungwana katikaa mpira wetu bado.Si mfano mzuri kwa vijana wanaochipukia katika mchezo.Namna wanavyotendewa wachezaji,makocha na watumishi wa vilabu vyetu,inawafanya waliomo wasijitolee kwa 100%.Unayowatendea Kaseja na Liewig,yanaweza kuathir...See More
42 minutes ago · Like

Denis Mlowe ndio up...vu wa viongozi wetu wa soka la bongo hakika inauma sana na utakuta ni mtu mmoja tu ndio anashinikiza iwe hivyo. kwa kweli soka la Tanzania kuendelea labda viongozi wa sasa wasiwepo..
41 minutes ago · Like

Steven Andrews Oh! xaxa ni wakati wa bartez! imekuwa kaseja! kaseja! hamna lolote! mi yanga damu!
40 minutes ago via mobile · Like

Mwanahiba Lucy Richard waache wavangevange tu Zena, watakapojua watakuwa wamechelewa sana
39 minutes ago via mobile · Like

Baraka Ndanga JAMANI MNAO HUSIKA NA HAK ZA SOKA KAZ KWENU SASA.
39 minutes ago · Like

Agustino Christopher Laizer inauma kwetu sana
24 minutes ago via mobile · Like
Ramadhani Sendah Viongozi wa soka wa Tanzania wamejaa fitna chuki,na roho mbaya na mizengwe,mpira huwa hauishi kama big G, soka si mchezo wa kujificha ni mchezo wa hadharani, hawakuanza leo kumsemea vibaya Juma,alipofanya vizuri walilipuka na wakamuita tz One,lakini al...See More
10 minutes ago · Like

Vicky Kimaro mkataba umeisha sio kama ameachwa, suala la mkataba kila mtu analijua ukiisha kuna mawili kuongezewa au kutoongezewa,
8 minutes ago · Like

Bin Diesel acheni unafiki wakati anaikacha simba hamkongea mpira maslai yeye km aliiacha simba kwaajili ya maslai acha simba imuache kwa ajili ya maslai huwezi kuwalazimisha simba wamsainishe kwa pesa anayotaka yy kisa captain national team km vp asepe tu ashauza sana mechi
6 minutes ago via mobile · Like

Ramadhani Sendah Hizo ndiyo siasa za viongozi wako wa Simba hizo, tunajua mkataba umeisha ndiyo, una kipa wa timu ya taifa ya Tanzania kwenye timu na mkataba wake umisha haumpi mkataba mwingine unaenda kumsajili kipa mpya ambae hata hajawahi kudakia hata under 20 ya t...See More
3 minutes ago · Like

Ramadhani Sendah Ni kweli alianza kuuza mechi ya Zamalek kule Misri eeee.
2 minutes ago · Like
kwa kipa namba moja wa Taifa Stars na mimisikubaliani kama ni kweli kitendo walichomfanyai kaseja simba sio cha kiustaarabu, hata kama wanamuache sio kivile , anatakiwa apewe taarifa mapema, aagwe kwa heshima kutokana na mchango wake simba, cha kushangaza hajawahi kukaa benchi ghafla kiwango kieshuka, captain nationalteam????????????????.KWANGU BINAFSI BILA KUSHAWISHIWA NA MTU WALA KUPATA USHAURI KASEJA BADO SAANA NI TANZANIA ONEEEEEE

No comments:

Post a Comment