Pages

Pages

Thursday, June 20, 2013

Joshua Nassari afikishwa jana usiku Hospitali ya Taifa Muhimbili na kupewa kitanda, VIP



Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipoletwa jana usiku akitokea jijini Arusha.

Nassari akiwa ni miongoni mwa wabunge vijana wadogo kabisa hapa nchini, anajulikana pia kwa jina la 'Dogo Janja', ambapo yupo katika matibabu baada ya kupata matatizo katika kazi majukumu ya kisiasa na kuzua hofu kwa wanachama wa Chadema, wakiwapo waliomchagua katika Jimbo la Arumeru.

No comments:

Post a Comment