Pages

Pages

Thursday, May 02, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ashiriki Ibada ya kusimikwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Titus Mdoe

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwadahama Polycarp Kaldianali Pengo (kushoto) wakishuhudia wakati Mhashamu Titus Mdoe, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo zilizofanyika kwenye viwanja vya Msimbazi Centre jijini Dar es salaam Me 1, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment