Pages

Pages

Sunday, May 26, 2013

Nyumba nzuri, ipo Tandika Maghorofani, Temeke inauzwa bei sawa na bure

 SURA YA MBELE

 SEBULENI
 DINING ROOM

NYUMBA ILIYOPO MAENEO YA TANDIKA MAGHOROFANI, TEMEKE INAUZWA KWA BEI SAWA NA BURE NA HAUTOAMINI BEI YAKE ....

NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA, CHUMBA CHA KUPUMZIKIA - SEBULE (SITTING ROOM), CHUMBA CHA MAAKULI (DINING ROOM), CHOO, STOO NA KIBARAZA CHA KUJINAAFASI.

KAMA HAITOSHI NYUMBA INA TILES, GYPSUM IMEPIGWA YA KISASA, NYUMBA IPO BARABARANI KABISA NA INAFAA KWA MATUMIZI YA FREMU.

NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHA KUPIMWA NA SERIKALI NA KINA HATI MILIKI .....

KWA WANUNUZI WA UHAKIKA (SERIOUS BUYERS) WAPIGE SIMU NAMBA +255 (0) 767 488622

No comments:

Post a Comment