Pages

Pages

Wednesday, May 15, 2013

Mabinti bomba wajiandaa na shindano la Redds Miss Ukonga 2013 kwa kufanya mazoezi makali katika Ukumbi wa Hill Tech, Ukonga

 Washiriki wa Redds Miss Ukonga 2013 wakiwa katika mazoezi yao yanayofanyika katika Ukumbi wa Hill Tech, Ukonga Banana, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya fainali zao zitakazofanyika Mei 25 katika Ukumbi wa Wenge Garden, Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam.

 Washiriki wa Redds Miss Ukonga 2013 wakiwa katika mazoezi yao yanayofanyika katika Ukumbi wa Hill Tech, Ukonga Banana, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya fainali zao zitakazofanyika Mei 25 katika Ukumbi wa Wenge Garden, Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam. T-shirt nyekundu ni ishara kuwa wamedhaminiwa na Saluti 5, chini ya Mkurugenzi wake Said Mdoe.

  Hapo vipi? Watoto wamependeza?

 Hapa kazi tu. Mtaalamu wa Habari na mawasiliano kuelekea Redds Miss Ukonga 2013, Rashid Kazumba, akiwa kwenye majukumu yake. Hii alikutwa mazoezini kwa warembo hao jana.



 Tutacheza hivi.
 Watu weeeee
 Tuvalishane mwaya nguo za Saluti 5 maana udugu wetu utaishia kwenye jukwaa katika fainali lakini hapa sisi sote ni ndugu. Tehe tehe. Ndivyo wanavyoelekea kusema mabinti hawa wanaoshiriki shindano la Redds Miss Ukonga 2013.
 Hapo sasa


Watoto hawa walikutwa wakiangalia mazoezi ya Redds Miss Ukonga 2013 jana na kuvutia watu kiasi cha kuhoji kinachoendelea kwa warembo hao. Hadi watoto jamani? Hawa kweli ni mabinti wenye mvuto kiasi cha kuwasisimua watu wote.

No comments:

Post a Comment