Pages

Pages

Thursday, April 04, 2013

Picha za vurugu za Kawe zilivyochanganya watu baada ya mwananchi kuuwa

Moshi wa mabomu ya machovu kwa mbali,Mabomu na risasi za moto zilirindima eneo la kawe jana baada ya wananchi kuvamia kituo cha polisi baada ya muendesha bajaji mmoja kuwawa na mwanajeshi wa jeshi la wananchi wa tanzania hali iliyowalazimu polisi kutumia nguvu kupambana na wavamizi hao.
Waandamaji waliamua kufunga barabara kwa kupanga magogo na vitu vingine wakati wa mapambano hayo na jeshi la polisi
endelea kupitia audifacejackson blog
Mashuuda wa tukio hilo na baadhi ya waandamaji wakiwa barabarani wakiwa tayari kwa lolote
endelea kupitia audifacejackson blog
 

No comments:

Post a Comment