Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Lulu aanza mbwembwe, vazi lake la wiki lashangaza wengi

Msanii nguli wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa ametinga kivazi cha kimitego juzi na kuwaacha watu midomo wazi ikiwa ni wiki ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba. 

Huenda hii ni picha moja matata kwa mwanadada huyo tangu alipopata dhamana katika kesi ya mauaji ya msanii mwenzake, Kanumba, ambaye juzi ilifanyika kumbukumbu yake ya mwaka mmoja tangu kifo chake.

Mavazi hayo si mageni kwa Lulu, ukizingatia kuwa hayo ndio maisha yake kabla ya kupelekwa sero kwa kuhutumiwa kuhusika na mauaji ambapo baadaye alipewa Dhamana.

No comments:

Post a Comment