Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Ukatili mkoani Mbeya waendelea kushika kasi, mguu wa mtoto waokotwa

MGUU WA MTOTO LISTA MWAKANYAMALE MIAKA NANE MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI YA ISANGE MWAKALELI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA AUAWA KIKATILI KWA KUKATWA KICHWA NA KUTOLEWA VIUNGO VINGINE NA MWILI WAKE KUPATIKANA MTONI BAADA YA SIKU NANE TANGU KUPOTEA KWAKE

MBEYA HAYA MAMBO YATAISHA LINI JAMANI?



Balaa tupu. Mguu wa mtoto Lista Mwakanyamale mwenye miaka nane ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Isange Mwakaleli wilayani Rungwe mkoani Mbeya ukikutwa baada ya kuawa kikatili kwa kukwakatwa kichwa na kutolewa viungo vingine vya mwili wake kupatikana mtoni. Habari, picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii..

No comments:

Post a Comment