Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Engi Muro Mwanamachame awatolea uvivu wadau wa muziki wa dansi

Vijana wenye vipaji anaozungumzia Mwanamachame wakiwa kazini, akiwa kama mdau wa muziki wa dansi nchini.

Wamiliki wengi wa bendi ni wavivu wa kuandaa kwa faida ya badae, wengi wamejikuta wanaishi kwa fitina na kuvizia nimchukuwe yupi toka kwa mwenzangu.
Engi Muro Mwanamachame
Lakini kuna vipaji vingi sana vinapuzwa kutokana na zana ya kumkubali aliye juu na ndio maana kauli zao nyingi mwisho huwa "tulimleta sisi mjini nyie mmedandia tu" lakini ukweli ni kwamba hakuna kizuri bila maandalizi.

Leo hii hawa jamaa wanapiga madebe lakini hakuna anaewafikilia kwamba wana uwezo wa kufanya kazi hata kwenye bendi kubwa, watu wamekalia kupigizana makelele na wanamuziki waliojuu tayari. 

Wekeni pesa hapa kwa faida ya badae, mfumo huo ndio unaua mpaka soka letu, watu porojo tuuuuuuuuuu!!!! Mathew Kiongozi, Deo Mutta Mwanatanga, Yusuphed Mhandeni, Said Mdoe, Mashaka Amiri. 
Habari hii imeandikwa na Muro katika mtandao wa kijamii facebook, huku akiwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi nchini.

No comments:

Post a Comment