Pages

Pages

Tuesday, April 09, 2013

Duh hili pozi la Partck Mwilongo na Careen Ciprian ni full balaa

Waandishi waandamizi Tanzania wenye uwezo wa kusimama sehemu zote, michezo, burudani, siasa na biashara wakiwa wamepozi walipokutwa na kamera ya Handeni Kwetu mwishoni mwa wiki maeneo ya Leaders Club.

Kushoto anaitwa Patrick Mwilongo mwenye maskani yake mjini Bagamoyo akiiwakilisha New Habari 2006 kwa magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, wakati Careen Siprian anayeandikia Gazeti la Nipashe. Hili lilikuwa pozi la aina yake.... Duh..

No comments:

Post a Comment