Pages

Pages

Monday, April 15, 2013

Bosi wa kundi la taarabu la East African Melody afariki Dunia leo Muhimbili



Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
MKURUGENZI na mwimbaji mahiri na mpiga kinanda wa kundi la East African Melody, Hajji Mohamed amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Marehemu Hajji Mohamed, enzi za uhai wake.
Habari kutoka ndani ya kundi hilo zinasema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya presha, huku alipofika Hospitalini hapo alikuwa akitembea mwenyewe.

Aidha pia bosi huyo wa East African Molody alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kushindwa kupumua na kusababisha kifo chake.

No comments:

Post a Comment