Pages

Pages

Thursday, March 07, 2013

WAKALA WA NISHATI VIJIJINI KUPITIA WADHAMINI WA RURAL ENERGY AGENCY (REA) KUKIJENGEA KIKOSI CHA JKT MLALE MTAMBO WA KUZALISHA UMEME WA BIYOGESI



Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Joseph Joseph Mkirikiti akisisitiza jambo katika ufunguzi wa mafunzo katika kikosi cha JKT Mlale
Meneja wa mafunzo na ujengaji uwezo Grace Mathew akitoa maelezo mbele ya mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkilikiti.
Injinia wa Wakala wa Nishati Vijijini Enocent Nyemo akitoa maelekezo kuhusu mtambo utakao wekwa katika shimo lililochimbwa kwa ajili ya kuweka mtambo.
Injinia wa Wakala wa Nishati Vijijini Enocent Nyemo akitoa maelekezo kuhusu mtambo utakao wekwa katika shimo lililochimbwa kwa ajili ya kuweka mtambo huo.
Shimo hili ni kwa ajili ya mtambo wa Bayogesi utakao wekwa

No comments:

Post a Comment