Pages

Pages

Tuesday, March 05, 2013

Uhuru Kenyatta, Raila Odinga waendelea kuchuana kileleni Uchaguzi wa Kenya

Uhuru Kenyatta (TNA) 1,833687  (50.11%)

Raila Odinga (ODM) 1,393,00 (41.00%)
 
Kwa jinsi hali ilivyokuwa, wataalamu wa mambo ya siasa, wanabashiri kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Uchaguzi huo kwenda raundi mbili kutokana na jinsi wanavyokabana kwa karibu katika kuelekea kupatikana rais wa Kenya m waka 2013.


No comments:

Post a Comment