Bondia
Ibrahimu Maokola akifanya mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake na Rajabu Majeshi utakaofanyika katika ukumbi
wa DDC Magomeni Kondoa March 2 Mpambano huo utakua wa utangulizi kabla
ya mpambano wa Maneno Osward na Japhert Kaseba.Picha kwa hisani ya Super D. |
No comments:
Post a Comment