Pages

Pages

Saturday, February 09, 2013

Bondia Francis Miyeyusho kuzipiga na Sadiki Momba Pasaka


Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka. Picha kwa hisani ya  www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka, wanashudia katikati ni Promota wa mpambano huo, Kaike Silaju na Makamu wa Rais wa PST, Aga Peter.

No comments:

Post a Comment