Msanii wa filamu nchini, Elizabeth
Michael maarufu kama ‘Lulu’ akitoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam, licha ya dhamana yake kuwa wazi, lakini alishindwa kutoka
kwasababu ya kukosekana kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Msanii huyo sasa atatoka
kesho baada ya kurudishwa tena mahakamani kwa ajili ya kuangalia kama ametimiza
masharti ya dhamana yake.
Pamoja na hayo, mwonekano wa msanii
huyo unazidi kutia wasiwasi. Handeni Kwetu ilipokea simu nyingi zinazotaka
kujua kama kweli mwanadada huyo ni mjamzito. Hata hivyo, wataalamu wa mambo
wanaweza kuchunguza vyema wakati na sisi tunasubiri kupata kauli yake au vipimo
vya daktari.
Lulu akipanda gari lililomleta Mahakamani.
Hili ndilo gari lililomleta Mahakamani.
Hapo Vipi?
Hapo Lulu anapanda gari.
No comments:
Post a Comment