Pages

Pages

Saturday, January 05, 2013

Mtaro wa maji machafu ulivyojaa takataka


JIJI la Dar es Salaam baadhi ya maeneo yake yamekuwa yakikumbwa na mafuriko kutokana na serikali za mitaa kutokuwa makini katika utunzaji wa mazingira pamoja na mifereji yake kuziba kwa uchafu, kama unavyoonekana mtaro huu maeneo ya Tabata Bima, yakiwa na uchafu mwingi. Picha na Kambi Mbwana.

No comments:

Post a Comment