Bondia
Selemani Galile kushoto akijifua na Mohamed Mosco wakati wa mazozi yake
ya kujitahalisha kupambana na Mbwana Ally mpambano utakaofanyika Yombo
Dovya katika ukumbi wa Lupingu Pub Februari 2. Picha zote kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia
Selemani Galile akifanya mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo wakati wa
maandalizi ya mbambano wake na Mbwana Ally utakaofanyika Yombo Dovya
katika ukumbi wa Lupingu Februari 2. |
Bondia Selemani Galile kushoto akijifua na Mohamed Mosco wakati wa mazozi yake ya kujitahalisha kupambana na Mbwana Ally mpambano utakaofanyika Yombo Dovya katika ukumbi wa Lupingu Pub Februari 2. |
No comments:
Post a Comment