Pages

Pages

Tuesday, November 01, 2016

Tamasha la ZIFF wapata bosi mpya Fabrizio Kolombo

Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini
BODI ya wakurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la The Zanzibar International Film Festival (ZIFF),
limemtangaza bwana Fabrizio Kolombo kuwa Mkurugenzi Mkuu baada ya aliyeshikilia nafasi hiyo kwa
miaka kumi na kumaliza muda wake na kutangaza kuacha kuitumikia ZIFF kwa nafasi hiyo.
Kutokana na kuachia kwake nafasi hiyo, Bodi hiyo iliyoketi na kuazimia kuwa Kolombo arithi nafasi hiyo
wameafikiana kuwa mteuliwa huyo ataitendea haki nafasi yake akirithi mikoba ya Dr. Martin Mhando aliyeitumikia nafasi hiyo kwa miaka 10.

No comments:

Post a Comment