Pages

Pages

Friday, February 12, 2016

Waziri Jenister mhagama afunga mkutano wa 25 wa PPF




Waziri wa Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu Jenista Mhagama, akisoma hotuba yake ya kufunga Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, uliomalizika leo Feb 12, 2016 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani/MafotoMedia. 
Wadau wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi, Waziri Jenista Mhagama.


Wadau wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi, Waziri Jenista Mhagama.

Mkutano Mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, ukiendelea siku ya pili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2016 baada ya kufunguliwa jana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashatu Kijaji, ambapo leo umefungwa na Waziri wa Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Meneja wa Rasilimali Watu na Utawala wa Taasisi ya Teknolojia, Dar es Salaam, (DIT) Sebastian Ndahani, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Ofisa wa fedha wa Benki ya Maendeleo TIB, Caroline Lundo, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Twiga Security, Joseph Nyahande, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, David Christopher, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mhasibu wa DIT, Nasra Othman, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mhasibu wa Benki Kuu Tawi la Mwanza, Claudia Manyanda, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kulia) akijadiliana jambo na mdau wa mfuko huo (kulia kwake) na Meneja Uhusiano wa Mfuko huo Lulu Mengele (kushoto) na Meneja Kiongozi wa mfuko huo,Mbarouk Magwa, kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha siku ya pili ya mkutano wa 25 wa Wadau wa PPF. 

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Lulu Mengele (kushoto) na Meneja Kiongozi wa mfuko huo, Mbarouk Magwa, kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha siku ya pili ya mkutano wa 25 wa Wadau wa PPF.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kulia) akifungua rasmi Kikao cha siku ya pili cha Mkutano Mkuu wa 25 wa mwaka wa Wadau wa Mfuko wa PPF,leo Feb 12, 2016. 


Mwenyekiti wa Kikao cha pili cha Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau wa mfuko wa PPF, Naftari Nsemwa, akiendesha kikao hicho baada ya ufunguzi.

Wadau ndani ya kikao hicho...

Mkurugenzi Mstaafu wa Mfuko wa PPF, David Mataka, akitoa mada wakati wa kikao hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba,akitoa mada wakati wa kikao hicho.

Mada zikiendelea....

Mmoja kati ya wadau wa Mfuko huo akiuliza swali wakati wa kikao hicho.....

Mmoja kati ya wadau wa Mfuko huo akiuliza swali wakati wa kikao hicho.....

Kikao kikiendelea.....

Waziri wa Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu Jenista Mhagama, akisoma hotuba yake ya kufunga Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, uliomalizika leo Feb 12, 2016 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani/MafotoMedia.

No comments:

Post a Comment