Pages

Pages

Saturday, December 26, 2015

Bondia Thomas Mashali amsambaratisha Francis Cheka kwao Morogoro Mji kasoro bahari, usipime

Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambambano uho wa raundi kumi.

Bondia Lulu Kayage kushoto akimtwanga ngumi Mwanne Haji wakati wa mpambano wao wa ubingwa Lulu alishinda kwa point katika mpambano huo wa raundi kumi.

Mabondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao Lulu alishinda kwa point

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA VICENT MBILINYI KUSHOTO SHABANI KAONEKA NA IMAN DAUDI MAPAMBANO WAKIMSHANGILIA USHINDI WA MBILINYI

 Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambambano uho wa raundi kumi. 

Mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Mwanne Haji wakioneshana umwamba kastika mpambano wao wa ubingwa wa raundi kumi ambapo lulu kayage alibuka bingwa wa TPBC kwa kumpiga Mwanne kwa point Picha naSUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment