Pages

Pages

Friday, April 17, 2015

18 wafariki ajalini Rungwe mkoani Mbeya



WIMBI la ajali limeendelea kuikumba Tanzania, baada ya gari dogo la abiria hiace kupata ajali ya kutumbukia mtoni na kutoa roho za watu 18 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kiwila, Wilayani Rungwe, mkoani Mbeya.

Habari kutoka katika chanzo cha ajali hiyo zinasema kuwa ni watu wawili tu ndio wamesalimika, akiwamo kondakta wa gari hilo. Taarifa kamili za ajali hiyo zinaendelea kutafutwa na mwandishi wetu aliyopo mkoani humo.

No comments:

Post a Comment