Pages

Pages

Thursday, March 05, 2015

Wadau wamtembelea balozi mstaafu Mustafa Nyang'anyi nyumbani kwake Washngton nchini Marekani

Mkurugenzi na mmiliki wa Kampuni Urban and Rular Engineering ndugu Awadh Zuberi ,pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa nyang'anyi nyumbani kwake Washington, kuanzia kushoto ni Awadh Zuberi, Shemuni Halahala,Balozi Nyang'anyi, Zuberi Athumani.

No comments:

Post a Comment