Pages

Pages

Thursday, March 05, 2015

Katibu wa Mbunge atoa shukrani kwa walioshirikiana naye kwenye msiba wa mama yake mzazi

Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum, Al Sheimar Kweigyir (Semeni Kingaru) mwenye shati la mikono mirefu, akiwa kwenye mazishi ya mama yake mzazi Bi Kibibi Haji Pembe, aliyezikwa Machi 3, kijiji cha Misugusugu, Kibaha, mkoani Pwani.

"Nashukuru Watanzania wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba na mazishi ya mama yetu kwa kutufanyia mambo mengi yenye kuleta ushirikiano kwa jamii kwa rambimbari zilizoonyesha kuguswa na msiba huu. Familia haina cha kuwalipa, isipokuwa kwa Mungu pekee.

No comments:

Post a Comment