Pages

Pages

Sunday, June 08, 2014

Kamera yetu ilivyomnasa Asha Baraka na Khalid Chokoraa jijini Dar es Salaam

Pilika pilika za jijini Dar es Salaam zilimnasa Mkurugenzi wa African Stars, Twanga Pepeta, Asha Baraka pichani akizungumza na mwanamuziki wake zamani Khalid Chokoraa, ambaye kwa sasa yupo kwenye bendi ya Mapacha Watatu.
Mmiliki wa mtandao huu, Kambi Mbwana kushoto, Asha Baraka na Khalid Chokoraa wakizungumza baadhi ya mambo yanayohusiana na muziki wa dansi Tanzania. Picha hii ilipigwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Picha na Salum Suleiman

No comments:

Post a Comment