Pages

Pages

Saturday, May 17, 2014

Pumzika kwa amani Brian Salva Rweyemamu


  Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo. 
Salva na mkewe wakiweka shada la maua...
 Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamu wakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014. 
Picha zote kwa hisani ya Sufiani Mafoto Blog...

No comments:

Post a Comment