Dkt Bilal afungua Kongamano la pili Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la
Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye
Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi
wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati)
ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment