Pages

Pages

Tuesday, February 04, 2014

Maswali lukuki yaumiza vichwa vya wadau wa sanaa eti wakihoji uhalali wa wasanii kujiunga na CCM


20


WASANII MAARUFU NCHINI JB,IRENE UWOYA, BANANA ZORO, RICHIE, MBOTO, WASTARA NA JOHARI WAJIUNGA NA CCM MDA HUU WAPEWA KADI NA RAIS KIKWETE JIJINI MBEYA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM juzi wamezidi kuibua maswali lukuki kwa wadau wa sanaa wakihoji uhalali wao wa kujiunga na CCM. Hata hivyo maswali hayo yanaulizwa kwa ushabiki, ambapo wanaohoji suala hilo wanapaswa wajiulize pia uhalali wa Profesa Jay, Afande Sele, Mgosi Mkoloni waliochukua kadi za Chadema.

JB akizungumza machace kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutamka kuwa wamejiunga na chama cha CCM.
Wasanii hao wa Filamu wakifurahia jambo jukwaani.

13
Mwigizaji wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla ya waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete kwenye uwanja wa Sokoine leo 14
Mwigizaji wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla ya waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete kwenye uwanja wa Sokoine leo, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,Itikadi na Uenezi. 20
Rais Dr. Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na wasanii waigizaji wa filamu mara baada ya kuwakabidhi kadi zao kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo19
Rais Dr. Jakaya Kikwete akimkabidhi kadi ya uanachama Irene Uwoya mara baada ya kujiunga na chama hicho leo 21
Irene Uwoya mwigizaji wa filamu akiwa anazongwa na mashabiki wake kwenye uwanja wa Sokoine leo.

No comments:

Post a Comment