Pages

Pages

Thursday, November 14, 2013

Makamu wa Rais Dkt Bilal aifariji familia ya Dkt Mvungi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini katika Kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dkt. Sengondo Mvungi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Kibamba Msakuzi, jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuifariji familia ya marehemu na kutoa mkono wa pole. Mwili wa marehemu unatarajia kuwasili nchini kesho ukitokea nchini Afrika ya Kusini. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment