Pages

Pages

Friday, October 11, 2013

Zitto Kabwe aendelea kuchanja mbuga akiwapa sera wafuasi wao

Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Zitto Kabwe, akihutubia wanachama wao mkoani Tabora, huku watu hao wakionekana kupigia kelele suala la shida ya maji.
Zitto Kabwe pichani katikati ya umati wa watu akizungumza.
Zitto Kabwe akiendeleza makamuzi mkoani Tabora.

Zitto Kabwe juu akiandika kitu mbele ya wanachama kibao wa Chadema na wafuasi wao.
Hapa watu wanafurahia maneno ya Zitto Kabwe.
Kicheko cha kadi hichoooo.
Zitto kama kawaida akimwaga sera jukwaani.

Lazima tuelewane jamani. Zitto anasema neno.


No comments:

Post a Comment