Pages

Pages

Saturday, October 05, 2013

Tajiri Bakheressa alipoachia apigwe picha katika uzinduzi wa kiwanda chake mbele ya mheshimiwa Rais Kikwete

D92A2030

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi uzalishaji katika kiwanda cha Bakhressa Food Products huko Mwandege, Wilayani Mkuranga  leo asubuhi.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Wapili kushoto ni mmiliki wa kiwanda hicho Bwana Said Bakhressa na kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda. 

Licha ya kuwa na fedha nyingi, lakini Bakheressa ni miongoni mwa matajiri wasiokuwa na makuu. Mara kwa mara picha zake zimekuwa zikipatikana kwa tabu. Hapendi kujionyesha na hana makuu kabisa. Hili ni jambo la kupongezwa. Picha hii ni kwa hisani ya Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment