Pages

Pages

Sunday, September 08, 2013

Mwili wa aliyeuawa kikatili wasafirishwa mkoani Dodoma

Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
  Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12) akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido.

  Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Yusta Mkali likiwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi yatakayofanyika hapo kesho.
Wakinamama wakilia kwa uchungu
Anayedaiwa kuwa ndio mhusika wa mauaji ya marehemu Yusta, anayefahamika kwa jina la Musa Senkando. Mtu huyu anatafutwa na polisi kwa mahojiano zaidi.

No comments:

Post a Comment