Pages

Pages

Saturday, August 03, 2013

Mwanamuziki mkongwe, Hagae Kauzeni afariki Dunia, kuzikwa kesho Kibaha



MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Biashara Jazz na JUWATA JAzz Band, Hagae Kauzeni, amefariki Dunia.

Kwa mujibu wa habari zilizotufikia, Kauzeni amefariki baada ya kuugua kwa kipindi cha mwezi mmoja na hatimae kusababisha kifo chake kilicholeta simanzi kwa wadau wa muziki, huku akipangwa kuzikwa kesho Kibaha, mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment