Pages

Pages

Sunday, August 11, 2013

Matukio ya mkoani Morogoro kwenye mhadhara wa kidini kabla ya Sheikhe Ponda kudaiwa kupigwa risasi

Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.
Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.

Askari wa FFU wakijisogeza kati kati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika.
Shekh Ponda, akitambulishwa jukwaani.
 Kikosi cha FFU uwanjani.
Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya Viongozi wa umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro, baada ya kuona magari ya askari yakisogea katikati ya uwanja.

 Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini.

Kwa hisani ya Mafoto blog

No comments:

Post a Comment