Pages

Pages

Saturday, August 10, 2013

Bendi ya Msondo Ngoma yafanya makubwa kwenye onyesho lao la Idd el Fitri, DDC Kariakoo jana

Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma, Eddo Sanga kushoto na Hassan Moshi kulia, wakitoa burudani wakati wa onyesho lao la Iddi lililofanyika katika Ukumbi wa DDC Kariakoo, jijini Dar es salaam, jana.
Uhondo unaendelea kwenye shoo hiyo ya aina yake.

Wapuliza hara wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa sikukuu ya idi kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande.
Saddy Ally akiwajibika wakati wa Onyesho hilo. Picha zote kwa hisani ya Msondo Ngoma Music band.

No comments:

Post a Comment