Pages

Pages

Sunday, July 21, 2013

Walemavu waonyesha balaa kwa kuhifadhi quraan vichwani mwao na kushangaza wengi

Mlemavu akisoma quraan
JUMLA ya watoto 72 kutoka mikoa mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana walishiriki mashindano na maonyesho ya kuhifadhi quraan, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, wakiwamo walemavu wa macho.


Katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation, chini ya mratibu Issa Ramadhan Mohamed, ambaye ni Katibu wa taasisi hiyo.

Saada Khamis, mlemavu wa macho akisoma quraan
 Watu wakifuatilia maonyesho.

 Watu wakifuatilia.
 Diwani wa viti maalumu CCM, Samia Sururu akifuatilia maonyesho haya leo jijini Dar es Salaam, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
 Sheikhe wa Msikiti wa Idrissa Kariakoo, Ally Bhasaleh, akizungumza katika maonyesho hayo
 Raia kutoka Uturuki akizungumza na Clouds Tv
 Zawadi za washindi wa kuhifadhi quraan.

No comments:

Post a Comment