Pages

Pages

Friday, July 05, 2013

Shangwe za kiana za Sherehe ya kuzaliwa kwa Zaituni Kibwana, hongera zako kwa kuukimbiza uzee.

 Hii ni keki ya Birthday ya Zaituni Kibwana leo hii. Watu walijibwedea huku wanapiga kazi. Happy Birthday Zaituni Kibwana.
Rachel Mrisho kushoto na Mwani Nyangassa, kulia, wakimpa kheri ya kuzaliwa Zaituni Kibwana, leo ofisini kwao New Habari 2006 Ltd. Happy Birthday Zaituni Kibwana.


Hii ni sherehe ya kiana ya kufurahia siku ya kuzaliwa ya Zaituni Kibwana, mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Bingwa Tanzania. Aliyembeba Zaituni ni Seleman Shineni, naye mwandishi wa gazeti hilo leo katika ofisi za New Habari 2006 Ltd.

No comments:

Post a Comment