Pages

Pages

Thursday, July 18, 2013

Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu azindua mashine za ulipaji wa kodi kwa wafanyabiashara

Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu kulia, akipata maelekezo kutoka kwa kampuni zinazosambaza mashine za eletronic za ulipaji wa kodi katika uzinduzi wa sehemu ya pili ya mashine hizo wilayani Handeni, mkoani Tanga, jana.
Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu kulia, akisaini katika meza za wasambazaji wa mashine za ulipaji wa kodi wa bidhaa, wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu kulia, akizungumza katika uzinduzi wa mashine za eletronic za ulipaji wa kodi katika uzinduzi wa sehemu ya pili ya mashine hizo wilayani Handeni, mkoani Tanga, jana. Kushoto kwake ni Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo, Charles Kamuhanda na kulia kwake ni Meneja Msaidizi wa Mkoa wa Tanga, Martenus Shirima.

Mkuu wa Polisi wilayani Handeni, OCD, Zuber Chembera, alikuwapo katika uzinduzi huo wa mashine za ulipaji wa kodi.
Tunajiandaa kuonyesha mashine zetu.
Mkuu wa wilaya Handeni, Muhingo Rweyemamu kulia, akisaini kitabu cha wasambazaji wa mashine hizo wilayani Handeni katika uzinduzi huo. Anayefuata ni OCD Zuberi Chambela.
Baadhi ya wafanyabiashara wakisikiliza kwa makini katika uzinduzi wa mashine hizo wilayani Handeni jana.

No comments:

Post a Comment