Pages

Pages

Saturday, July 13, 2013

Mama yake Profesa Jay kuzikwa kesho saa 10 jioni makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam



MAMA mzazi wa msanii Profesa Jay, Bi Rosemary Majanjara Haule unatarajiwa kuzikwa kesho Jumapili saa 10 za jioni, katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache baada ya kufariki kwa kugongwa na gari.
 Msibani kwa Profesa Jay


 Juma Nature alipofika msibani.


 Juma Nature akiwa msibani.



 Pole sana Profesa Jay. Aliyeshika kipaza sauti ni Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima.


 Snura akiwa kwenye msiba wa mama yake Profesa Jay. Kulia kwake ni Dj wa East African Radio.


Msibani kwa Profesa Jay
Msiba wa mama yake Profesa Jay, mmoja wa waimbaji mahiri wa muziki wa Hip Hop, alifariki na kumuacha Jay akiwa na huzuni tele juu ya msiba huo uliotokana na ajali ya gari.

Msiba huo upo nyumbani kwao Mbezi Juu, huku wadau na waombolezaji wakijitokeza kumpa pole, akiwamo msanii Juma Nature akiongozana na wasanii wengine wa Wanaume Halisi.

No comments:

Post a Comment