Pages

Pages

Monday, June 10, 2013

Nyota mwingine wa maigizo afariki Dunia na kuongeza machungu Tanzania

HABARI zilizoenea kwa sasa Tanzania zinasema kuwa mwigizaji nyota Bongo, Jaji Khamis 'Kashi' amefariki Dunia muda mfupi uliopita akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
                                   Jaji Khamis Kashi
Marehemu amefariki akiwa katika Hospitali ya Muhimbili akipata matibabu, huku akitonesha kidonda cha Watanzania kumpoteza nyota wa Bongo Fleva, Albert Mangweha 'Ngwair', aliyozikwa Alhamis iliyopita, mkoani Morogoro.

Habari zaidi juu ya kifo cha mwanadada huyo anayezidisha uchungu katika tasnia hiyo Tanzania kutokana na kukumbwa na matukio ya vifo zitaendelea kukujia kwa uhakika zaidi.

No comments:

Post a Comment