Pages

Pages

Wednesday, June 26, 2013

Mmoja ashikiliwa kwa kudaiwa kutaka kuua kwa njia ya imani za ushirikina, Kibaha mkoani Pwani

 Mama huyu anayeitwa Magreth Simon Nkwera, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akidaiwa kutaka kuua kwa njia ya imani za ushirikina, Kibaha Maili Moja, mkoani Pwani.
 
  Mama huyo akiwa katika gari la polisi.
Baada ya kunaswa na polisi Kibaha mkoani Pwani.

Mume wa anayedaiwa kutaka kuua, Douglas Shirima, aliiambia Handeni Kwetu Blog kuwa kwa sasa hajielewi baada ya kuona mambo mazito kwenye barua yenye majina ya watu ambao mama huyo alitaka wauliwe.

"Naona hatari tupu, maana barua hiyo niliyoonyeshwa ni nzito mno, hivyo sijui nini kinaendelea," alisema kwa ufupi. Taarifa kamili zinaendelea kufuatiliwa...

No comments:

Post a Comment