Pages

Pages

Friday, June 21, 2013

Marehemu George Mwaikela azikwa kijijini kwao Ngujubwaje, Tukuyu mkoani Mbeya





Mwili wa George Mwaikela ukiwa nyumbani kwao Kijiji cha Ngujubwaje, Ushirika Tukuyu, tayari kwa mazishi.
Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwasili msiba wa George Mwaikela akiwa pamoja na mheshimiwa Bakari Malima.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya, Bashiru Madodi, akiwa na Ridhiwani Kikwete pamoja na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Mbeya Mama Mbwaga wakati wa mazishi ya George Mwaikela, kijijini Ngujubwaje, Tukuyu.


No comments:

Post a Comment