Pages

Pages

Wednesday, June 12, 2013

Makundi ya Mkombozi Cup yapangwa, huku bingwa mtetezi akiumana na Green Star


 MWENYEKITI WA MICHUANBingwa Mtetezi wa Kikombe cha Mkombozi Kitayosce FC atafungua michuano hiyo kwa kucheza na Green Star zote za mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa ratiba ya Mkombozi Cup michuano hiyo itaendeshwa kwa makundi, ambapo kundi A lina Bingwa Mtetezi Kitayosce FC, Green Star, Nyuki FC na Golani FC.

Mechi ya Ufunguzi imepangwa kuchezwa Juni 13 mwaka huu katika uwanja wa Mandela, Kata ya Pasua Mjini Moshi.

Kundi B lina Kili Rangers, Mvuleni, Nazareth na Soweto. Kundi C lina TPC, New Generation FC, Best Maridadi FC na Moshi UTD. Kundi D limeundwa aa ajili ya mashindano hayo vimtolewa kwa timu zote ikiwemo mipira na jezi.
Mwenyekiti wa Mashindano haya Mama Mshana amewataka wadau wa soka wilayani Moshi kujitokeza kwa wingi kushuhudia michuano ya kuinua vipaji wilayani humu.
Mkombozi Cup itatia nanga Julai 8 mwaka huu, na viwanja vya King George Memorial na Mandela vitatumika, kwa timu 16 kuchuana vikali kumpata Bingwa wa Mkombozi Cup 2013.
  MKOMBOZI CUP 2013 MAMA MSHANA AKIWA NA VIFAA VITAVYOTUMIKA KWA  HUSIKA
 MSHAURI WA MICHUANO YA MKOMBOZI CUP 2013 J MPANDE AKIWA NA VIFAA VNZA KUTIMU VUMBI JUNI 13 HADI JULAI 8 , 2013 KATIKA 

No comments:

Post a Comment