Pages

Pages

Tuesday, June 18, 2013

Kuzuka kwa moto soko la Kariakoo kulivyoibua taharuki ya aina yake


Moto ulivyokuwa unawaka sokoni Kariakoo.Moto ukiunguza paa la baa....Inadaiwa kuwa moto huo ulianzia hapa, shoti ya umeme.....
Mamia ya wakazi na wananchi waliokuwa karibu na eneo la tukio hilo wakishuhudia moto huo ambao pia haikuweza kubainika mara moja hasara iliyojitokeza mara baada ya kadhia hiyo.

No comments:

Post a Comment