Pages

Pages

Wednesday, June 12, 2013

Kikao cha cha CCM cha kujadili rasimu ya Katiba chaongozwa na mwenyekiti Jakaya Kikwete mjini Dodoma



 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu wa chama Mh. abdulrahman Kinana katika kikao hicho.
 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akiongoza kikao Maalum cha CCM 'Kamati Kuu' kilichokutana mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya Katiba mpya, iliyosomwa hivi karibuni.
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu, waliohudhuria kikao hicho.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba, akiperuzi 'mambo flani' katika simu yake ya mkononi, wakati akiwa ukumbini humo kwenye Kikao cha Kamati Kuu.
 Sehemu ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao wengi wao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment