Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa
mpambano huo.
|
|
Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na
Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba
alishinda raundi ya tano.
|
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST |
Bondia Kaseba akishangilia ushindi. Picha zote kwa hisani ya Super D....... |
No comments:
Post a Comment